INAUMA, TAZAMA MAZISHI YA BIBI HARUSI NA MAMA YAKE WALIOPATA AJALI, WAZIKWA LEO
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2023-12-02
Просмотров: 4164
Описание:
INAUMA, TAZAMA MAZISHI YA BIBI HARUSI NA MAMA YAKE WALIOPATA AJALI, WAZIKWA LEO.
mani Mollel, ambaye alikuwa ni bwana harusi mtarajiwa wa Rehema Chao, (wa kwanza kulia), akiwa amebeba msalaba wa mpendwa wake aliyefariki ajalini Wilaya ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro, akitokea kwenye ‘send-off’ yake iliyofanyika Novemba 24, mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya harusi yake ambayo ilikuwa ifanyike leo, Desemba 2, katika Usharika wa Oldonyosambo, mkoani Arusha.
Bibi harusi huyo alipata ajali Novemba 28, mwaka huu katika eneo la Kichwa cha Ng'ombe, wilayani Mwanga baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Raum kugongana na lori wakati akikwepa shimo.
Katika ajali hiyo alifariki mama yake mzazi, Agnes Chao (75) na msichana wa kazi, Irene Shija (15) mkazi wa Geita.
#ajali #bibiharusi #trending
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: