DUNIA NZIMA IMEBAKI NA MWANAMKE MMOJA TU BAADA YA BOMU LA NUKLIA!
Автор: Swahili Recap
Загружено: 2025-09-16
Просмотров: 31780
Описание: Baada ya dunia nzima kuangamizwa na bomu la kinyuklia, wanadamu wote wanatoweka isipokuwa mwanamke mmoja tu aliyeponyoka kwa miujiza. Je, atawezaje kuishi peke yake katika dunia tupu iliyojaa vifo, uharibifu na hatari zisizoelezeka? Hii ni simulizi ya kushtua, yenye maswali makubwa kuhusu upweke, matumaini na vita ya kuendelea kuishi pale ambapo hakuna mwingine aliye salia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: