Nini Tofauti ya YUTONG D12 na D14? Hii Hapa Breakdown Kamili!
Автор: SafariCoachTZ
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 8337
Описание:
“Nini Tofauti ya YUTONG D12 na D14? Hii Hapa Breakdown Kamili!”
Leo tunaangalia tofauti kamili kati ya YUTONG D12 na YUTONG D14—kutoka kwenye urefu, nguvu, nafasi ya ndani, legroom, A/C, uwezo wa mizigo, hadi uwepo wa choo na mid-door option.
D12 ni standard luxury coach, wakati D14 ni executive long coach yenye nafasi kubwa na comfort ya juu zaidi.
follow Facebook ♥️
/ 16kezc8j4w
follow instagram ♥️
https://www.instagram.com/safaricoach...
Katika video hii utajua:
Urefu wa D12 vs D14
Legroom & headroom
A/C system tofauti
Tofauti za dashboard na interior
Uwezo wa kubeba mizigo
Ni ipi bora kwa safari ndefu
Usisahau ku-subscribe kwa content zaidi za mabasi na reviews!
#Yutong #YutongD12 #YutongD14 #LuxuryBus #BusReview
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: