Asante (Lyrics video) - Happiness Josiah
Автор: Happiness Josiah
Загружено: 2023-02-17
Просмотров: 3729
Описание:
ASANTE ni neno la shukrani.
Tunatambua kuwa sisi si kitu, si lolote bila huyu Mungu wetu wa mbinguni. Ametupigania na kutushika kwa mkono wake hodari katika nyakati zote za maisha yetu, hata pale tulipochagua njia zetu wenyewe kwa sababu mbalimbali na kutanga mbali na upendo wake.
Mkono wake uokoao haukutupungukia bali kwa huruma na upendo mwingi anafanya kila njia kuturudisha Kwake.
Hii ni zaidi ya upendo, ni NEEMA.
Neema inayotuweka hai na kutustahilisha mbele Zake hata sasa.
Hivyo, tutoe shukrani zetu za dhati kwake kwa kumuambia ASANTE Kwa Neema Yake hiyo na upendo wake usio na kikomo na tumuombe atupatie nguvu ya kudumu pendoni mwake na kujitenga na kila kinachotuweka mbali na Yeye.
Ubarikiwe unaposikiliza ujumbe huu na ku-share ili uwabariki na wengine.
Song writer and composer: @HappinessJosiah78
Produced by @ETUNEZOFFICIAL
Artwork by JVR Studios
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: