Sheria Mpya DRC : Claude Misare Apendekeza Huduma ya Kijeshi ya Lazima.
Автор: ULINZI tv
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 158
Описание:
Pendekezo la sheria lililowasilishwa Bungeni na Mbunge Claude Misare linataka kuanzisha huduma ya kijeshi ya lazima kwa vijana wa miaka 18 hadi 30 nchini DRC.
Lengo lake ni kuimarisha usalama wa taifa kutokana na vitisho vinavyozidi kuongezeka.
Hivi sasa, hati hiyo iko mikononi mwa kamati ya P.A.J kwa ajili ya marekebisho kabla ya kutiwa saini na Rais.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: