MABONDIA TANDIKA WATUMA SALAAM KUELEKEA DAR BOXING DERBY
Автор: Bongo Boxing Safari
Загружено: 2022-10-19
Просмотров: 242
Описание:
Mabondia Kutoka Kambi ya Fire Stone Tandika,Watuma salamu za Vitisho dhidi ya Wapinzani wao Kuelekea pambano la Dar Boxing Derby,Novemba,20,2022 katika uwanja wa kinesi Dar es salaam.
Wakizungumza Wakati wakiendelea na mazoezi yao wamesema, Awaongopeshwi na Mabondia wenye Majina Wanachokitaka ni Heshima Ya Mchezo wa Masumbwi Huku wakiwataka Wapinzani wao kujiandaa kwa Mchezo mzuri dhidi Yao.
Kwaupande wake Hamza Juma a.k.a Kocha Bad mkufunzi wa Mabondia hao Amesema Bongo hakuna bondia Wa kumpinga yeye ni mtu mbaya hivyo kwao ni kama mazoezi.
Pambano La Dar Boxing Derby Linalotarajiwa kupigwa Novemba 20,mwaka huu Lengo ni kuonesha vipaji Vipya katika Masumbwi Huku Mabondia wakidhamilia Kuheshimisha Maeneo Yao Ndani Ya Jiji La Dar es salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: