CHUO CHA TAIFA CHA UTALII (NCT), CHATANGAZA NEEMA KWA VIJANA.
Автор: Clever Media Tz
Загружено: 2023-08-24
Просмотров: 795
Описание:
Vijana nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya mafunzo katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) ili kupata ujuzi utakao wawezesha kuajiriwa au kujiajiri kwenye sekta za utalii ndani na nje ya Nchi kwa lengo la kujipatia kipato na kujikwamua kiuchumi.
#utamaduni #utalii #nct #uwekezaji
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: