Mkandala ahutubia UDSM, amueleza Magufuli changamoto chuoni
Автор: JamiiForums
Загружено: 2016-06-02
Просмотров: 13005
Описание: Makamu mkuu wa chuo cha Dar es Salaam(UDSM), Profesa Rwekaza Mkandara amehutubia kwenye hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwenye ujenzi wa maktaba ya chuo hicho. Mkandara amesema tatizo kubwa zaidi linalolikabili chuo hicho ni mabweni ya wanafunzi(Hostels) na miundombinu kwa ujumla. Rais Magufuli amejibu amewasikia na analifanyia kazi kwa kuwatafutia biilioni kumi za awali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: