#LIVE
Автор: KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 88
Описание:
#LIVE || MISA TAKATIFU YA SHUKRANI KWA MUNGU KWA WAWATA PAROKIA YA MUUNGANO-JIMBO KATOLIKI BAGAMOYO.
•Karibu katika adhimisho Misa Takatifu ya Shukrani jwa Wawata Parokia ya Mtakatifu Thoma Mtume Muungano Marobo, Jimbo katoliki la Bagamoyo.
Misa Inaongozwa na
Padre Erasto Kamumgisha, Paroko wa Parokia ya Thoma Mtume Muungano, Jimbo katoliki la Bagamoyo, .
#karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine
waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas
0657793511 Jina Dominicus Haule pia M.pesa
0756379340 Dominicus Haule
KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝
Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾
Raha ya Utume kushirikisha 🙏
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: