Mgisa Mtebe - HATARI YA MAPOKEO KATIKA KANISA
Автор: Mwl. Mgisa Mtebe
Загружено: 2018-09-21
Просмотров: 28422
Описание: Mungu wetu habadiliki, lakini nia zake za kufanya mambo duniani, zinabadilika kulingana na muda. Ndio maana tuna Agano la zamani na tuna Agano Jipya. Ndio maana tuna dunia hii ya zamani, na tuna dunia na mbingu mpya. Mungu hapendi tumkariri, bali anataka tuongozwe na Roho wake, kila siku. Ukishindwa kuiongozwa na Roho Mtakatifu kwasababu ya kumzoea Mungu na kukariri njia zake, ukidhani unamtetea Mugu, kumbe utajikuta unampinga Mungu. Hatari ya mapokeo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: