Sikiliza Rais Magufuli alivyookoa mamilioni yaliyokuwa yatumike kuweka nembo ndege ya Serikali
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-28
Просмотров: 5085
Описание:
Rais John Magufuli ameelezea jinsi baadhi ya watumishi walivyotaka kutumia zaidi ya Sh200 milioni kuweka nembo kwenye ndege ya serikali iliyotolewa kwa ATCL ambapo nembo hiyo baadaye ilichorwa kwa shilingi milioni tano tu.
#AzamTVApp #AzamTVUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: