Bilionea mpya wa madini ya Tanzanite huyu hapa! achimba kwa miaka 15
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-08-27
Просмотров: 1904
Описание:
Bilionea mpya wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Anselim Kawishe amechimba madini ya Tanzanite kwa muda wa miaka 15 bila kupata madini ya Tanzanite.
Kawishe akizungumza Agosti 27 2020 kwenye hafla ya ununuzi wa madini hayo ya Tanzanite ya thamani ya shilingi bilioni mbili na milioni 245 amesema ameanza kuchimba madini hayo mwaka 2004.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: