MAMBA TISHIO UKEREWE MWANZA | MWILI WA MWANAFUNZI WAHOFIWA KULIWA NA MAMBA
Автор: VOT MEDIA
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 156
Описание:
Mwili wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Cornel Maghembe kata ya Kagunguli Unaendelea kutafutwa baada ya Kukamatwa na Mamba Jumatatu ya Machi 2 mwaka 2026.
Huku wakazi wa ukerewe wakiiomba serikali kuchukua hatua za haraka katika kuthibiti wanyama wakali ambao ni Mamba na viboko,
Wanaoendelea kuwa tishio baadhi ya maeneo ya ziwa Victoria, huku vifo vingine vinne kutoka kata ya Ngoma vikitajwa.
Taarifa ya vifo hivyo imeibuliwa na baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Ukerewe Katika kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya pili Oktoba-Disemba 2025/26
#votupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: