ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Bwana Upepo Wavuma_Official Music Video |TUCASA KCMC Choir

Автор: TUCASA KCMC

Загружено: 2019-08-19

Просмотров: 11262

Описание: Huu ni wimbo 1 kati ya 10 zinazopatiakana kwenye DVD vol2 inayoitwa ASTAHILI MWANAKONDOO. Nyimbo nyingine katika album ni
1. Haleluya
2. Astahili Mwanakondoo
3. Atanificha
4. Usiku wa heri
5. Katika Bethlehem
6. Gloria
7. Mungu mtukufu
8. Viumbe Vyote
9. Watu wahitaji Mungu

Jipatie nakala yako kwa Tshs, 5,000 tu.
Mawasiliano: +255 717 922 260 au +255 620 244 760
Email: [email protected] au [email protected]

LYRICS
1. Bwana Upepo wavuma wimbi lina gadhbu
Wingu hili linanguruma bandari si karibu
Hali yetukufikiri kwanini kulala
Twafa maji yawe ni kaburi wokovu la hapana.

Chorus: Pepo na mawimbi vyasikia, tulia tulia
kama ukali wa bahari wanadamu pepo na shetani
mawimbi yapataje kuumiza chombo kilicho na Yesu Bwana
Vitu vyote vyamsikia, tulia tulia
Vitu vyote vyamsikia hutulia

2. Bwana nimezima moyo hamu yanizidi tu
Ninasumbuka roho yangu uniokoe Bwana
Dhambi nyingi na uovu zitanizamisha
Bwana wangu upesi ni wewe utakayenitosha

(Chorus)

3. Sasa hofu imekwisha ni shwari baharini
Jua letu tena linang'ara utulivu rohoni
Kaa nami ewe Bwana isiwe mimi tu,
Nami nitafika bandarini ng'ambo ndiko nafuu

(Chorus)

Audio: Vancuva
Video: Cinematix Media Group

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Bwana Upepo Wavuma_Official Music Video |TUCASA KCMC Choir

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Upepo Wavuma_Salvation Army Webuye Division

Upepo Wavuma_Salvation Army Webuye Division

Джем – Bwana Upepo Wavuma_Official Music Video |TUCASA KCMC Choir

Джем – Bwana Upepo Wavuma_Official Music Video |TUCASA KCMC Choir

Президент предал страну? / Конец спецоперации

Президент предал страну? / Конец спецоперации

BWANA UPEPO WAVUMA   TUCASA KCMC CHOIR OFFICIAL HD VIDEO

BWANA UPEPO WAVUMA TUCASA KCMC CHOIR OFFICIAL HD VIDEO

TUCASA SUA_HATUTAAGANA OFFICIAL VIDEO

TUCASA SUA_HATUTAAGANA OFFICIAL VIDEO

14 Марта Как выстоять, когда кончаются силы Апостол Павел и поминовение усопших

14 Марта Как выстоять, когда кончаются силы Апостол Павел и поминовение усопших

Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix

Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix

The Family Music Tz-Bwana upepo wavuma -Official Video

The Family Music Tz-Bwana upepo wavuma -Official Video

Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani

Jicho la Tatu - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani

NILIKUPA WEWE-Pr. JOSHUA MBWAMBO feat.KIRUMBA PRAISE TEAM, KIRUMBA ADVENTIST CHOIR &the CONGREGATION

NILIKUPA WEWE-Pr. JOSHUA MBWAMBO feat.KIRUMBA PRAISE TEAM, KIRUMBA ADVENTIST CHOIR &the CONGREGATION

Bwana upepo wavuma hutulia  tulia

Bwana upepo wavuma hutulia tulia

Bwana Upepo Wavuma - The Silvercord

Bwana Upepo Wavuma - The Silvercord

Viumbe Vyote (Official Video) - TUCASA KCMC Choir (From Astahili Mwanakondoo Album)

Viumbe Vyote (Official Video) - TUCASA KCMC Choir (From Astahili Mwanakondoo Album)

Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)

Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)

Tulia by Glory voices lyrics video

Tulia by Glory voices lyrics video

BWANA UPEPO WAVUMA || SDA MAILITATU CHURCH CHOIR || BEST VERSION OF MASTER THE TEMPEST IS RAGING

BWANA UPEPO WAVUMA || SDA MAILITATU CHURCH CHOIR || BEST VERSION OF MASTER THE TEMPEST IS RAGING

🎼 О небо, голубое небо / Христианские душевные песни ✨

🎼 О небо, голубое небо / Христианские душевные песни ✨

LO, AJABU_Official_Video _TUCASA KCMC choir.

LO, AJABU_Official_Video _TUCASA KCMC choir.

Celebration Gael Fikin 1

Celebration Gael Fikin 1

Master the tempest is raging | UoN SDA Choir

Master the tempest is raging | UoN SDA Choir

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]