Wanaume Waahidiwa Wanawake Wa Bwerere Busia
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2014-07-31
Просмотров: 59580
Описание: Mtazamaji chukulia kwamba wewe ni kapera, kisha uambiwe kuwa ujiandae wewe na wenzako,tarehe fulani mjiandae mtaletewa wake.naam hali ya kutofautiana imeibuka baina ya wanawake na wanaume wa Nambale katika kaunti ya Busia huku baadhi ya wanaume wakilalamika kuwa mnamo tarehe 27 serikali iliwadanganya kuwa ingewaletea wanawake wa kuoa.Wanaume hao wanawakashifu wanawake wa Nambale kwa kukosa maadili huku wanawake wakisema kuwa wanaume hao si waadilifu.Victor Wetende na ripoti kamili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: