ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Jerry Muro: 'Haji Manara Ni Msukule Wa Simba Hatoki'

Автор: CHAMPION HABARI

Загружено: 2020-02-25

Просмотров: 122320

Описание: Aliyewahi kuwa Afisa Habari wa Yanga, ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amesema kuwa ameamua kurejea katika klabu hiyo kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.

Amesema hayo kupitia mkutano ulioitishwa na uongozi wa klabu hiyo ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu, Fredrick Mwakalebela, ambapo amesema kuwa amekuja kutoa sapoti yake kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Gwambina FC kesho.

"Nimekuja tena Yanga sikuitwa ila karaha na fedheha zimezidi nikaona nije tena tushirikiane. Potelea mbali ukuu wa Wilaya ulinikuta nikiwa Yanga hivyo nimeona nirudi na sijaja kuwa kiongozi ila lazima tuungane na kesho Gwambina hana pakutokea", amesema Jerry Muro.

"Mimi niliachia kijiti kwa kina Antonio Nugaz lakini upande wa Simba mwenzangu kakomalia hapo hapo sijui yeye ndio msukule wa Simba?. Kwetu sisi watu wanabadilika, walio walianza na Mo Dewji tangu akiwa mdogo mpaka leo wanamtegemea yeye tu, sisi wamepita kina Manji na wengine Yanga inasonga tu ndio tofauti yao na sisi", ameongeza.

Kuhusu kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, Mkuu huyo wa Wilaya amesema, "na mimi kama mwanachama huru nimwambie kocha tumemvumilia sana, kesho tunataka magoli 7, alitoka Ulaya huko kuja hapa atajua anafanyaje".

Aidha Jerry Muro ametoa wito kwa viongozi wote waliowahi kuhudumu klabuni hapo, kurudi na waendelee kuishi kama zamani, kuanzia kesho itakaposhuka dimbani dhidi ya Gwambina FC.
Subscribes:   / kidanistars  

Instagram:   / kidanistars  

Facebook:   / kidanistars  

Twitter:   / kidanistars  

Subscribes:   / kidanistars  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jerry Muro: 'Haji Manara Ni Msukule Wa Simba Hatoki'

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Utacheka : Manara uso kwa uso na Jimmy Kindoki

Utacheka : Manara uso kwa uso na Jimmy Kindoki

AHMED ALLY

AHMED ALLY "HATUWAPI WACHEZAJI WETU GARI KWA SABABU WALIWATESA YANGA/SIMBA TUNA FANYA MAMBO MAKUBWA

JERRY MURO KARUDI YANGA KASHUSHA VIJEMBE KWA SIMBA, MO NA MANARA WATAJWA

JERRY MURO KARUDI YANGA KASHUSHA VIJEMBE KWA SIMBA, MO NA MANARA WATAJWA

HAJI MANARA ALIVYOIKANA YANGA/HATA HELA ZOTE ZA BANK SIWEZI KUFANYAKAZI YANGA/LABDA NIFE

HAJI MANARA ALIVYOIKANA YANGA/HATA HELA ZOTE ZA BANK SIWEZI KUFANYAKAZI YANGA/LABDA NIFE

Jerry Muro kawajibu wanaosema Yanga alipendelewa dhidi ya Simba Feb 20 2016

Jerry Muro kawajibu wanaosema Yanga alipendelewa dhidi ya Simba Feb 20 2016

MANARA AMVAA AHMED ALLY -

MANARA AMVAA AHMED ALLY - "NILIMUONYA HAKUSIKIA, AKASEMA NAJISHTUKIA, NIKAAMUA NIM'BUST"

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Akizungumza na Wananchi Sumbawanga Mjini-Machi 10, 2026

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Akizungumza na Wananchi Sumbawanga Mjini-Machi 10, 2026

HIKI HAPA ALICHOSEMA JERRY MURO KUHUSU RAMOVIC KUSEPA YANGA,

HIKI HAPA ALICHOSEMA JERRY MURO KUHUSU RAMOVIC KUSEPA YANGA, " AMEFANYA UHUNI, NILISEMA...."

HAJI MANARA KAPANIKI

HAJI MANARA KAPANIKI "UNANILETEA UYANGA WAKO MIMI? TUNAWAJUA"

Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023

Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023

MANARA AMLIPUA JERRY MURO -

MANARA AMLIPUA JERRY MURO - "''ANANITUKANA KISA PRADO, NIMEWAHIFADHI NITAWALIPUA MWISHO wa MSIMU''

PROFESA KAPUYA AELEZA SIRI NYUMA YA UONGOZI SIMBA, BABRA NA MANARA, BILIONI 2O

PROFESA KAPUYA AELEZA SIRI NYUMA YA UONGOZI SIMBA, BABRA NA MANARA, BILIONI 2O

Magoli yote sita: Simba SC 3-3 Stand United,  dimba la Taifa DSM (02/03/2018)

Magoli yote sita: Simba SC 3-3 Stand United, dimba la Taifa DSM (02/03/2018)

MANARA ALIPUKA SIMBA

MANARA ALIPUKA SIMBA "TUNANUNUA MECHI / YANGA SEMENI BEI !"

"MANARA AKILETA MDOMO, NAMUWEKA NDANI MASAA 48" - JERRY MURO

TRUMP VITA IMEKWISHA, IRAN HAKUNA KUSIMAMISHA VITA

TRUMP VITA IMEKWISHA, IRAN HAKUNA KUSIMAMISHA VITA

Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

Yanga SC 1-3 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 07/11/2024

Yanga SC 1-3 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 07/11/2024

EXCLUSIVE : KAPUYA AFUNGUKA MAZITO KUHUSISHWA NA SAKATA LA USHOGA MBELE YA HAJI MANARA

EXCLUSIVE : KAPUYA AFUNGUKA MAZITO KUHUSISHWA NA SAKATA LA USHOGA MBELE YA HAJI MANARA

🔴#BREAKING: HAJI MANARA AHAMIA YANGA RASMI, SENZO AMTANGAZA -

🔴#BREAKING: HAJI MANARA AHAMIA YANGA RASMI, SENZO AMTANGAZA - "WELCOME BACK HOME"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]