BUNGENI: Zitto, Ester Bulaya na Waitara kuhusu kauli za RC Makonda
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-09
Просмотров: 228438
Описание:
February 8 2017 bunge lilipitisha kwa pamoja azimio la kuwaita mbele ya kamati ya Haki, maadili na madaraka ya bunge Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kutoa lugha za kuzalilisha bunge.
Baadhi ya wabunge walisimama kutoa malalamiko yao huku wengi wakiongelea kauli inayodaiwa kutolewa na Makonda huku Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya akidai kupigiwa simu kutoka kwa Makonda yenye kuashiria vitisho dhidi yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: