#TAZAMA
Автор: St, Paul Online Media📺.
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 1439
Описание: ilikuwa ni Misa takatifu ya kufunga nadhiri za muda, masista wa benedictine chipole songea, SIKU YA dominica ya Mwezi wa 9, Mwaka 2025 katika kanisa katoliki la watawa wa benedictine chipole, Nyumba ya asili ya Mt Agnes, MISA TAKATIFU imehudhuriwa na 9, Waumini na maabate, Emmanuel mlwilo OSB, wa Abasia ya Peramiho, na Abate mstaafu christian Mhagama kutoka ABASIA YA hanga, #like #share #subscribe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: