Mt. Kizito Makuburi - Aleluya Chorus (Official Music Video)
Автор: KMK MAKUBURI
Загружено: 2020-04-14
Просмотров: 221074
Описание:
Wimbo : Aleluya chorus
(Aleluya Korasi)
Mtunzi: Fredrick G. Handel
Wimbo huu ulitungwa mnamo karne ya 16 kwa lugha ya kijerumani na baadaye kutafsiriwa kwa lugha mbali mbali kama kiingereza, kilatini nk.
Pia ulitafsiriwa kwa ligha ya kiswahili na watunzi kadhaa, lakini huu umetafsiriwa na mwl John mgandu na baadaye kuboreshwa na kwaya ya mt Kizito makuburi kwa kuchukua marekebisho kadhaa toka ukwakata jimbo kuu la DSM.
Huu ni wimbo maarufu sana hasa ulipovishwa maneno yenye ujumbe wa ufufuko na kutumika zaidi wakati wa kipindi cha Pasaka.
Waimbaji: KMKMAKUBURI
Conductor: Zacharia Gerald
Vyombo/Music : Alleluia chorus Orchestral (download)
Audio: RAJO Production
Video: Holly trinity studios
Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: