LOWASSA:NIMEONEWA, NIMEDHALILISHWA, NIMEFADHAIKA – LAKINI NAJIUZULU!
Автор: AFRIKA HURU
Загружено: 2025-10-13
Просмотров: 745
Описание:
Tarehe 7 Februari 2008, Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa alitangaza kujiuzulu kwake Bungeni Dodoma.
Katika hotuba yake, alizungumza kwa uchungu, akisema wazi kuwa “Nimeonewa, nimedhalilishwa, nimefadhaika sana – lakini najiuzulu kwa maslahi ya taifa.”
Hotuba hii imebaki kuwa moja kati ya matukio ya kihistoria yaliyotikisa siasa za Tanzania.
Tazama sehemu hii ya historia ambayo ilibadilisha mwelekeo wa taifa.
#Lowassa #Kujiuzuru #BungeDodoma #HistoriaTanzania #HotubaLowassa #SiasaTanzania
• KIONGOZI BORA NI YUPI?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: