WANANCHI WAMKABA KOO WAZIRI LUKUVI, AKASIRIKA - "SIWEZI KUWAPOKONYA JESHI, MSINIBANE BANE"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-03-09
Просмотров: 5844
Описание:
WANANCHI WAMKABA KOO WAZIRI LUKUVI, AKASIRIKA - "SIWEZI KUWAPOKONYA JESHI, MSINIBANE BANE"
Wakazi wa eneo la Tanganyika Packers Jijini Arusha Wamewasilisha malalamiko yao kwa waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuhusu mgogoro wa mipaka unaendelea kati yao na jeshi
kwa niaba ya wananchi hao Bi Messi Mase amemuomba wazili Lukuvi kuwasaidia kumaliza mgogoro huo kwa kuwa wamejenga nyumba zao kwa gharama kubwa kwa kutumia mikopo hali ambayo inawafanya kuchanganyikiwa na kuishi bila amani
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: