Saniniu Laizer: 'Sina hela ya kugawa kwa watu'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2020-08-06
Просмотров: 4424
Описание:
Mchimbaji madini Saniniu Laizer amesema hapo awali alikuwa akiyatupa mawe ya Tanzanite kwani hakujua thamani ya mawe hayo.
Laizer anadai hapo awali hakujua Tanzanite yenyewe ilikuwa nini kutokana na ukosefu wa elimu katika jamii yake.
Lakini kwa hivi sasa ashajua thamani yake kamili na mawe yenyewe yamemfanya kuwa bilionea. Ameamua kujenga jumba la biashara, shule na hata kuwapatia chakula watu wasiojiweza katika jamii yake.
#Tanzania #tanzanite #bbcswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: