Yanga SC 1-0 Bandari FC | Highlights | Mwananchi Day 12/09/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 225169
Описание:
Nyota mpya wa Yanga, Celestin Ecua raia wa Chad amefunga goli pekee lililowapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Bandari FC ya Kenya katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi.
Shughuli nzima imepigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: