ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Waziri Dkt. Stergomena Akabidhiwa Ofisi Rasmi

Автор: Ulinzi Channel

Загружено: 2023-09-04

Просмотров: 1575

Описание: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amekabidhiwa rasmi Ofisi pamoja na shughuli za Wizara. Makabidhiano hayo yamefanyika baina yake na Mheshimiwa Innocent Lugha Bashungwa aliyeteuliwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassana kuwa Waziri wa Ujenzi.
Makabidhiano baina yao yamefanyika leo tarehe 04 Septemba, 2023 katika Ukumbi wa Wizara - Mtumba jijini Dodoma, na kushuhudiwa na Menejimenti ya Wizara, tukio ambalo limeenda sambamba utiaji saini Hati ya Makabidhiano.
Akiongea na Menejimenti ya Wizara mara tu baada ya kumalizika kwa shughuli ya kukabidhiana ofisi, Mheshimiwa Dkt. Stergomena ameishukuru Menejimenti pamoja na watumishi kwa ujumla wao kwa mapokezi mazuri aliyoyapata alipowasili Wizarani hapo na kuwaomba wampe kila aina ya ushirikiano atakaouhitaji katika kutekeleza majukumu yake kama walivyofanya kwa mtangulizi wake.
Aidha, amemshukuru Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Bashungwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi chote tangu alipomkabidhi ofisi tarehe 03 Oktoba, 2022 wakati alipoteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, miezi kumi na moja iliyopita na kumhakikishia kuwa atayaendeleza yale yote aliyoyaacha.
Vile vile, Dkt Stergomena amemweleza Mheshimiwa Bashungwa kuwa, kwa anaendelea kuwa Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ni matumaini yake kuwa wataendelea kushirikiana naye katika kulisukuma mbele guruduma la maendeleo ya Taifa katika kumsaidia Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu katika kuliongoza taifa na kuwaletea maendeleo watu wake.
Naye, Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa amemshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, kwanza, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuiongoza vyema nchi yetu, pili, kwa kuendelea kumuamini na kumteua kuwa Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi na tatu, mbali na kumteua yeye, ameendelea kumuamini pia Dkt. Stergomena na kumhamisha kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili aweze kumsaidia katika kuiongoza Wizara ya Ulinzi na JKT.
Waziri Bashungwa amemuahaidi Waziri Dkt. Stergomena kumpa ushirikiano wakati wote atapohitajika kufanya hivyo na kumtakia utendaji mwema wa majukumu yake. Aidha, amewahakikishia kuwa Wizara ya Ujenzi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa kuwa Menejimenti na Watumishi wakiwa bado ni Watumishi ataendelea kushirikiana nao kwa karibu zaidi.
Kwa namna ya kipekee, Mheshimiwa Bashungwa amewashukuru watumishi wa Wizara, kwa upendo na ushirikiano mkubwa waliompatia wakati wote, uliomwezesha kutekeleza

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Waziri Dkt. Stergomena Akabidhiwa Ofisi Rasmi

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO

WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA KAMANDI YA JESHI LA ANGA

WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA KAMANDI YA JESHI LA ANGA

KIKWETE ASIMULIA SWALI ALILOULIZWA NA MJUKUU WAKE

KIKWETE ASIMULIA SWALI ALILOULIZWA NA MJUKUU WAKE "KWANINI MAGUFULI KACHUKUA KAZI YAKO?"

САДЫР ЖАПАРОВ АКЫРКЫ ЧЕЧИМДЕРИ БОЮНЧА ТҮШҮНДҮРМӨ БЕРДИ

САДЫР ЖАПАРОВ АКЫРКЫ ЧЕЧИМДЕРИ БОЮНЧА ТҮШҮНДҮРМӨ БЕРДИ

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA ANAKAGUA KITUO CHA KUPOOZEA UMEME

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA ANAKAGUA KITUO CHA KUPOOZEA UMEME

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU AKIZINDUA KITUO CHA KUPOOZA UMEME

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU AKIZINDUA KITUO CHA KUPOOZA UMEME

ТҮШКҮ ЖАҢЫЛЫКТАР 13.02.26: СУУСАМЫРДА МАЛЧЫНЫ 50 БАШ КОЙ ЖАНА АТЫ МЕНЕН КАР КӨЧКҮ БАСЫП КАЛДЫ

ТҮШКҮ ЖАҢЫЛЫКТАР 13.02.26: СУУСАМЫРДА МАЛЧЫНЫ 50 БАШ КОЙ ЖАНА АТЫ МЕНЕН КАР КӨЧКҮ БАСЫП КАЛДЫ

WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI

WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI

Садыр Жапаров: чечим кабыл аларда досума чалгам

Садыр Жапаров: чечим кабыл аларда досума чалгам

WAZIRI BASHUNGWA AKIMWAGIA SIFA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI -NDC AONGEA NA MAAFISA NA ASKARI

WAZIRI BASHUNGWA AKIMWAGIA SIFA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI -NDC AONGEA NA MAAFISA NA ASKARI

Ташиев кызматтан эмнеге алынды? | Жаңылыктар | 10 02 2026

Ташиев кызматтан эмнеге алынды? | Жаңылыктар | 10 02 2026

WAZIRI BASHUNGWA, Akabidhi Vyeti na Kuhitimisha Mafunzo ya Kozi ya Ukamanda na Unadhimu

WAZIRI BASHUNGWA, Akabidhi Vyeti na Kuhitimisha Mafunzo ya Kozi ya Ukamanda na Unadhimu

КЕЧКИ ЖАҢЫЛЫКТАР 12.02.26: САДЫР ЖАПАРОВ КОНСТИТУЦИЯЛЫК СОТКО КАЙРЫЛДЫ

КЕЧКИ ЖАҢЫЛЫКТАР 12.02.26: САДЫР ЖАПАРОВ КОНСТИТУЦИЯЛЫК СОТКО КАЙРЫЛДЫ

UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA -

UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA - "MIAKA 4 WIZARA 5 TOFAUTI"

UAPISHO, Jionee Tukio la Kuapishwa Mkuu wa Majeshi Jacobo Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi

UAPISHO, Jionee Tukio la Kuapishwa Mkuu wa Majeshi Jacobo Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi

⚡️У Путина СРОЧНО ОБРАТИЛИСЬ к Киеву ПО ОКОНЧАНИЮ

⚡️У Путина СРОЧНО ОБРАТИЛИСЬ к Киеву ПО ОКОНЧАНИЮ "СВО"! Кремль УДАРИЛ по СВОИМ ВОЙСКАМ: ПОСЛЕДСТВИЯ

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI MABEYO ALIVYOAGA WIZARA YA ULINZI NA JKT ALIMWAGIA SIFA JWTZ

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI MABEYO ALIVYOAGA WIZARA YA ULINZI NA JKT ALIMWAGIA SIFA JWTZ

RAIS SAMIA AMUONYA BASHUNGWA -

RAIS SAMIA AMUONYA BASHUNGWA - "TUSILEANE, NIPO 'SIRIAZ', UTALIA WEWE"

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA

🔴#Live: WAZIRI MKUU MWIGULU ATINGA TANGA KWA KISHINDO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

🔴#Live: WAZIRI MKUU MWIGULU ATINGA TANGA KWA KISHINDO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]