DK. MWIGULU: Sitaki kusikia wanafunzi wanakwenda na vidumu vya maji Shuleni
Автор: Nukta TV
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 54
Описание:
aziri Mkuu wa Tanzania Dk. Mwigulu Nchemba amesema hataki kusikia wanafunzi wanakwenda na vidumu vya maji mashuleni.
Ametoa agizo hilo katika muendelezo wa ziara yake jijini Arusha jana Februari 24, 2026.
"Tunataka kila shule ya msingi na Sekondari, zahanati, vituo vya afya viwe na maji, inaweza kuwa mradi au kisima. Mitambo tunayo hivyo tunapaswa kwenda kulifanya hilo litokee", amesema Waziri Mkuu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: