ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-01-12

Просмотров: 1049

Описание: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika sekta ya elimu kwa kuweka mazingira mazuri ya kujifunzia kupitia ujenzi wa skuli za kisasa zenye hadhi na viwango vinavyokubalika.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 10 Disemba 2026, alipozifungua skuli mbili za ghorofa ambazo ni Skuli ya Ramadhan Haji Faki iliyopo Gamba, Mkoa wa Kaskazini Unguja, pamoja na Skuli ya Kifundi kwa Niaba iliyopo Pemba.

Amesema Serikali inatambua mchango wa wananchi wa Gamba waliopisha ujenzi wa skuli hiyo na kuahidi kuwa Serikali inajipanga kufanya tathmini ili kuwalipa fidia zao stahiki. Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema Serikali imepokea ombi la wananchi la kujengewa nyumba za maendeleo katika eneo hilo na kuahidi kulifanyia kazi.

Akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa Skuli ya Gamba, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Ndg. Khamis Abdalla Said, amesema skuli hiyo imegharimu shilingi bilioni 11.2 na imejengwa na Kampuni ya ZECON, ikiwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 800 kwa wakati mmoja.

Ameongeza kuwa Skuli ya Kifundi ya Pemba imegharimu shilingi bilioni 9.4 na imejengwa na Kampuni ya SALEM Construction.

Skuli hizo zimejengwa kwa ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya Maendeleo ya Afrika (BADEA), ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya elimu nchini.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

#TBC: UCHUMI WA BULUU - ZANZIBAR

#TBC: UCHUMI WA BULUU - ZANZIBAR

🔴LIVE: RAIS SAMIA KUTOA TAMKO JUU YA LISSU? MUDA HUU YUPO NA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA.

🔴LIVE: RAIS SAMIA KUTOA TAMKO JUU YA LISSU? MUDA HUU YUPO NA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA.

KAULI YA WAZIRI HAMZA WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA YA KIZIMKAZI

KAULI YA WAZIRI HAMZA WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA YA KIZIMKAZI

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli

Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli

DIKO JIPYA NA KISASA LAFUNGULIWA - MAZIZINI, ZANZIBAR

DIKO JIPYA NA KISASA LAFUNGULIWA - MAZIZINI, ZANZIBAR

WAZIRI PALAMAGAMBA

WAZIRI PALAMAGAMBA "ASANTE RAIS SAMIA KWA KUNIFANYA NIAGE VYEMA SEKTA YA MICHEZO"

SGR TABORA KIGOMA UJENZI UNASONGA MBELE

SGR TABORA KIGOMA UJENZI UNASONGA MBELE

ANGALIA KIWANJA PEKEE CHA MCHEZO GOLF ZANZIBAR, KUMBE SIO MCHEZO GHALI, GOLF MAPINDUZI TOURNAMENT

ANGALIA KIWANJA PEKEE CHA MCHEZO GOLF ZANZIBAR, KUMBE SIO MCHEZO GHALI, GOLF MAPINDUZI TOURNAMENT

HOTUBA NZITO YA RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

HOTUBA NZITO YA RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

ZECO yajipanga kuondoa changamoto za umeme Zanzibar

ZECO yajipanga kuondoa changamoto za umeme Zanzibar

DR. SHEIN ATOA SIRI ZANZIBAR ILIPOTOKA HADI ILIPO SASA

DR. SHEIN ATOA SIRI ZANZIBAR ILIPOTOKA HADI ILIPO SASA

Angalia kirobo alivyomvunja mbavu Rais Dkt. Mwinyi.

Angalia kirobo alivyomvunja mbavu Rais Dkt. Mwinyi.

BALAA! JAJI MKUU BILA HOFU ATAKA HAKI MBELE YA RAIS, MAJAJI WASHANGILIA, AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA

BALAA! JAJI MKUU BILA HOFU ATAKA HAKI MBELE YA RAIS, MAJAJI WASHANGILIA, AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA

UTAPENDA: BARABARA YA MPENDAE YAFUNGULIWA RASM

UTAPENDA: BARABARA YA MPENDAE YAFUNGULIWA RASM

DKT. MWINYI AMTUNUKU NISHANI YA MAPINDUZI MAMA FATMA KARUME

DKT. MWINYI AMTUNUKU NISHANI YA MAPINDUZI MAMA FATMA KARUME

DKT. SHEIN AIBUKA PAJE, ANENA MAZITO KUHUSU MIUNDOMBINU

DKT. SHEIN AIBUKA PAJE, ANENA MAZITO KUHUSU MIUNDOMBINU

TAHARUKI MWERA: ALIYEDAIWA KUFARIKI AFUFUKA, FAMILIA YAELEZEA MKASA MZIMA.

TAHARUKI MWERA: ALIYEDAIWA KUFARIKI AFUFUKA, FAMILIA YAELEZEA MKASA MZIMA.

MWIJAKU ASHUSHA KILIO KIZITO KISA MKE WAKE NIMEMKUBUKA SANA/AONYESHA PICHA ZA NDOA YAO/GOROFA JIPA

MWIJAKU ASHUSHA KILIO KIZITO KISA MKE WAKE NIMEMKUBUKA SANA/AONYESHA PICHA ZA NDOA YAO/GOROFA JIPA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]