Agizo la Kamanda Muroto kwa wamiliki wote wa silaha Dodoma
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-09-26
Просмотров: 1918
Описание: Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto ametoa maagizo kwa wamiliki wote wa silaha katika mkoa wake kufika mara moja katika ofisi za Polisi kwa ajili ya kuhakiki silaha hizo na wale watakaoshindwa kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kisheria.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: