Meli Hatari ya Kivita ZUMWALT ni Tisho Kwa Urusi.
Автор: Maxtech tv
Загружено: 2023-04-14
Просмотров: 4222
Описание:
Hii ni meli ya kivita iliyoonyesha ulimwengu kuwa ni ya kisasa Zaidi kutengenezwa kwenye hii century ya 21 na wengine wakiuliza je kuna haja ya kuwa na hii meli MAMBO VIPI? Internent karibu MAXTECH show ambayo leo inakuomba usubscribe kwa kushambulia hiyo button nyekundu hapo chini yeah tayari. tendelee
Hii ni USS ZUM-WALT ni meli ilidesigniwa kuwa multipurpose destroyer yenye makombora yanayoongozwa ikiwa na uwezo wakutoonekana kwenye radar kilahisi zumwalt ilitakiwa kuwa mbadala wa hii destroyer ya zamani ya marekani ARLEIGH BURKE CLASSC na kuwa destroyer hatari Zaidi ya centrury ya 21 kwa miaka hamsini ijayo zumwalt ilitakiwa kuwa mbadala wa meli za kivita sababu ilitakiwa kuwapa wanajeshi wa maji wa marekani uwezo wa kushambulia inchi kavu
Subscribe channel yetu ni BUREEE! :http://bit.ly/maxtechTV
Social media
TikTok http://bit.ly/Maxtechtz
➰Twitter http://bit.ly/maxtechtvtwitter
📸Instargram http://bit.ly/maxtech_tz
#zumwalt #usnavy #ddg1000 #us #maxtechtv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: