Mawaidha ya ndoa || Sheikh Othman Maalim
Автор: Jiongezee Maarifa
Загружено: 2020-11-27
Просмотров: 122764
Описание:
Sheikh Othman Maalim
@jiongezeemaarifa1496
"Mwenye kuoa kwa hakika ameshahifadhi nusu ya dini yake basi amche Allah (S.W) kwa nusu iliyobaki"
Oa ndugu uonje starehe ya kweli ya dunia, Mtume Mtukufu (S.A.W) Amesema "Dunia ni starehe na starehe iliyobora zaidi katika hiyo dunia ni kuoa MWANAMKE MWEMA"
Mwanamke mwema Mtume (S.A.W) Anamueleza katika Hadithi nyengine kuwa ni Yule ambae "Ukimuangalia anakufurahisha, ukimuamrisha anakutii na ukiwa mbali nae anakuhifadhia heshima yako kwa kujihifadhi yeye mwenyewe na kukuhifadhia mali na watoto wako"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: