JE BUNGE LILIIFUTA LATRA?
Автор: RSA Tanzania
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 645
Описание: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini ambayo iliundwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge, haijawahi kufutwa au kuondolewa majukumu yake ya kiudhibiti katika sekta ya usafirishaji kama ambavyo imekuwa ikivumishwa na baadhi ya watu. Hata hivyo, kuna majukumu machache ambayo yaliondolewa kwa mamlaka hiyo, kama yanavyofafanuliwa kwenye video hii
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: