Swinox LaJiNi - Moyo Umevunjika ( Official Audio )
Автор: Swinox ± LaJiNi
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 108
Описание:
“Moyo Umevunjika” ni simulizi ya kweli ya maumivu ya mapenzi, pale unapoamini kwa moyo wote halafu unaishia kuumizwa. Wimbo huu umeandikwa na Swinox LaJiNi mwenyewe, ukiwa umejaa hisia za ndani, maneno ya ukweli na sauti yenye mguso wa moja kwa moja kwenye nafsi ya msikilizaji.
Ni wimbo unaoelezea usaliti, kumbukumbu za mapenzi yaliyopita, na mapambano ya kujaribu kusimama tena baada ya kuachwa na yule uliempenda kwa dhati.
Kama umewahi kupenda na ukaumizwa, basi huu ni wimbo wako. 🎶💔
Andika comment, share na subscribe kuunga mkono muziki wa Swinox LaJiNi. Safari bado inaendelea.
#new #audiofile #bongofleva
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: