Rais Samia kwenye vazi la Kombat akifungua Mkutano Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda
Автор: MD TV ZANZIBAR
Загружено: 2025-12-15
Просмотров: 622
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga kwa ajili ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, tarehe 15 Desemba, 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: