Ukichukuliwa na mashaka | Hesabu Mibaraka | Kuongozwa | Kuongozwa
Автор: Music Maestro
Загружено: 2025-11-05
Просмотров: 189587
Описание:
Count your blessings is a message of gratitude that encourages people to find contentment by recognizing Gods goodness when faced by difficult times of life.We are encouraged to focus on Gods blessings both large and small as away of strengthening our faith in christ.
HESABU MIBARAKA LYRICS
Ukichukuliwa na mashaka yako
Na kuona hufu kwamba utakwama,
Uhesabu mibaraka yake Mungu,
Na utashangaa kwa rehema yake
Uhesabu mibaraka yote
Mungu aliyoyakubariki!
Ukumbuke, mambo yote pia
Na utashangaa kwa rehema yake!
Na ukiudhiwa na huzuni nyingi,
Ukiona msalaba ni mzito,
uhesabu mibaraka kuchwa pia
na kwa moyo wote utasifu Mungu.
KUONGOZWA
Kuongoza hunishika
kwa mkono wake wa hakika
Nitaandamana naye
Kristo aniongozaye
Huniongoza Mwokozi,
ndipo nami hufurahi,
Niendapo pote napo,
ataniongoza papo
Kuongoza hunishika
kwa mkono wake wa hakika
Nitaandamana naye
Kristo aniongozaye
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: