🔴
Автор: TAG CCC Dodoma
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 90
Описание:
Bwana Yesu Asifiwe Sana!!!!
Tunamtukuza MUNGU sana kwa ajili yako wewe uliye
jiunga nasi katika Ibada hii. Mungu Akubariki Sana,
Kwa Maombi au Msaada zaidi unaweza kuwasiliana
nasi Kupitia 0655 578 887.
Karibu sana TAG CCC Ratiba zetu ni kama ifuatavyo:-
🔴🔴 JUMATATU 🔴🔴
🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanawake (WWK)
🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanaume (CMF)
🟢Saa 12:00 - 01:30 Usiku Vijana (CA's)
🔴🔴 JUMANNE 🔴🔴
🟢Makanisa ya Nyumbani
🔴🔴 JUMATANO🔴🔴
(Safari ya Biblia)
🟢Ibada ya Kwanza Saa 9:30 -11:30 Jioni
🟢Ibada ya Pili Saa 11:30 -1:00 Usiku
🔴🔴 IJUMAA 🔴🔴
(Maombi na Maombezi)
🟢Ibada ya Kwanza Saa 9:30 - 11:30 Jioni
🟢Ibada ya Pili Saa 11:30 - 1:00 Usiku
🔴🔴 JUMAPILI 🔴🔴
🟢Saa 12:00 - 1:30 Asubuhi - lbada ya Kwanza, English Service
🟢Saa 1:30 - 4:30 Asubuhi - Ibada ya pili, Kiswahili
🟢Saa 4:30 - 7:00 Mchana - Ibada ya tatu. Kiswahili
2026 MWAKA WA KUZIDISHWA, YEREMIA 30:19
#tagcccmiyuji #sundayservice #sundayservicelive #worship
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: