WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA ATAKA UKAMILISHWAJI WA UJENZI WA MIRADI ILIYOSAINIWA
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 88
Описание:
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Ujenzi kukamilisha miradi ya ujenzi wa barabara iliyosainiwa kabla ya kuanza mipya ili kuleta tija.
Akizungumza katika ziara yake wilayani Kilindi mkoani Tanga Dkt. Mwigulu amesema kukamilika kwa miradi iliyosainiwa kutaiwezesha Serikali kuwa na miradi inayotekelezeka kwa wakati na kuiwezesha Serikali kuisimamia vizuri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: