YWAYA TAJIRI - MAZURI MABAYA (OFFICIAL VIDEO)
Автор: Ywaya Tajiri
Загружено: 2021-08-13
Просмотров: 48238
Описание:
Official Video for " Mazuri Mbaya" by Ywaya Tajiri
Lyrics:
Nitajaribu kile me nta weza
ndio nikuone ukitabasamu
niko na wivu kwa wale wenye pesa
maisha yao lazima iwe tamu
na aki sisi tuna nyeshewa na ina nisumbua
sipendi kuona ukitembea kwa baridi na mvua
ndio maana na jaribu kile me na weza
hizi mashida si tuzi sahau
juu vile nilikupenda hapo mwanzoni
mpaka sahizi ni zaidi
mashida ni kawaida
haziwezi tu zika hazita tu shinda
ndio maana mpenzi si bagui
nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
ukweli mpenzi si bagui
nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
Na nikuji tambua ndio ilifanya nika kuchagua
na niko sure shida zikija nta zitatua mama
ukitaka maziwa ama halua nta zinunua
nta kuletea kaa sina fare nita tembea mama
kila kitu ndio upate hata kama ni machache ni lazima nijikaze ( x2)
juu vile nilikupenda hapo mwanzoni
mpaka sahizi ni zaidi
mashida ni kawaida
haziwezi tuzika haziwezi tushinda
ndio maana penzi sibagui
nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
ukweli mpenzi sibagui
nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
nitajari kile me nita weza ndio nikuone ukitabasamu
Starring :
Ywaya Tajiri & Annie Kimanga
AUDIO CREDITS
Produced by Ethan Muziki
Mixed and mastered by Ethan Muziki
VISUAL CREDITS
Film by TUQU CREATIVES
Director (DOP) Vintage Prime 254
Assistant (DOP)Prestone Ambutsi
special thanks Alvin Mbugua
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: