HAFLA YA UZINDUZI TAWI LA KCB BANK MKUNAZINI, ZANZIBAR - Ep02
Автор: KCB Tanzania
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 39
Описание:
KCB Bank Tanzania imezindua rasmi tawi jipya Mkunazini, Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kimkakati kuimarisha upatikanaji wa huduma za kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi. Uzinduzi huu unaunga mkono Dira ya Maendeleo Zanzibar 2050 kwa kuimarisha sekta binafsi, uchumi wa buluu, na mageuzi ya kidigitali kupitia huduma bunifu za benki, ikiwemo KCB Sahl Islamic Banking.
Benki imeendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati kama usafirishaji wa mizigo baharini na maendeleo ya hoteli, pamoja na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika safari ya serikali ya kidigitali. Hatua hizi zinafungua fursa zaidi kwa wafanyabiashara, wawekezaji na jamii kwa ujumla kunufaika na mtandao mpana wa KCB Group Afrika Mashariki na Kati.
#KCBBankTanzania #KCBZanzibar #UchumiJumuishi #Zanzibar2050 #DigitalBanking #IslamicBanking #BlueEconomy #FinancialInclusion #ZanzibarBusiness #KCBGroup
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: