Serikali yaweka vikwazo vya kifedha kwa wahusika 13 wa ugaidi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 1462
Описание: Serikali imewaorodhesha watu kumi na watatu kama wahusika wa ugaidi na wafadhili wa shughuli hizo. Watu hao sasa wamewekewa vikwazo vya kifedha vinavyozuia benki na taasisi nyingine yenye akaunti zao kufanya shughuli zozote za kifedha nao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: