Eugene Wamalwa awataka Kenya Kwanza kutekeleza ahadi zao
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 573
Описание: Kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa ametaka serikali ya Kenya Kwanza kutekeleza manifesto yake na ahadi ilizotoa kwa wananchi badala ya kuendesha siasa za kutaka kugawanya upinzani. Akiongea huko Transzoia, Wamalwa amekariri kuwa atakuwa analenga kupeperusha bendera ya upinzani mwaka 2027
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: