UONGOZI SIMBA ULIKUWA IMARA, TAARIFA HAZIKUVUJA: AZIMU
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 187
Описание:
Mchambuzi wa michezo Azimu Kanshorora amesema Simba SC ilikuwa na uongozi imara awali ambapo taarifa za ndani hazikuvuja kwa mashabiki ikiwa kutofautiana kwa viongozi matokeo ni kukosekana kwa ufanisi wa utendaji kazi na kupata matokeo duni ambayo yanapatikana msimu huu.
Kanshorora amesema hayo katika #Ulive.
#Ufmupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: