Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo Laanzisha 'Vita'
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-06-05
Просмотров: 179503
Описание:
Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar 5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria, alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
kupata habari zaidi, WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar 5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria, alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu.
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
KUAGWA KWA NDESAMBURO: https://www.youtube.com/edit?o=U&vide...
#Philemon Ndesamburo, #Ndesamburo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: