LAMI KASULU, NDALICHAKO ASIMAMIA, WANANCHI WAMJIA JUU MKANDARASI "TUHESHIMIANE, TUMIENI LUGHA NZURI"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-01-22
Просмотров: 116203
Описание:
Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako amewaomba wananchi kuweka heshima kwa watendaji na kutoa lugha za staha ili kuweza kupata maendeleo ambayo ni pamoja na barabara kuwekwa katika viwango vya lami na pia kutoa ushirikiano kwa watendaji hao
Kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea katika mitaa ya Halmashari ya
Nao wananchi wa halmashauri hiyo wamemtaka mkandarasi anayefanya matengenezo ya barabara hizo kufuata utaratibu mzuri ili kuepuka migogoro baina ya wananchi na mkandarasi huyo.
Kwa upande wake Meneja wa TARURA Eng. Baraka Mauya ameshauri barabara hiyo ifungwe ili kuendelea kufanya matengezo kwa ufanisi kwa kutoa udogo ili kupanua ukubwa wa barabara na kukana tuhuma za kupiga watu na kuwazuia wasipite.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: