MAFUNZO YA WAZAZI 540 kutoka kata 27 za JIJI LA TANGA
Автор: Tanga Tanzania TV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 17
Описание:
Mafunzo ya kuwajengea uelewa juu ya umuhimu wa mawasiliano yenye ufanisi na vijana mbinu nafasi ya kijana katikaa utatuzi wa migogoro na maamuzi kwa wazazi 540 kutoka kata 27 za Jiji la Tanga
Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kushirikiana na Restless Development imewapatia wazazi elimu ya Mawasiliano yenye ufanisi na vijana Mbinu za kutatua migogoro ya kifamilia Namna ya kuwashirikisha vijana katika nafasi za uongozi na fursa za vijana kutoka nyaja mbali mbali.
Wazazi wamekumbushwa kuhusu jua ya athari ya ukosefu wa mawasiliano yenye ufanisi kuweza sababisha migogoro na familia kushindwakufanya maamuzi yenye maslahi kwa familia wazazi pia waliwezeshwa kujua mbinu mbalimbali na
Njia bora za kutatua migogoro kama(kusikiliza, kudhibiti hasira, kuzungumza kwa heshima, kusamehe na kusahau)
Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wazazi na vijana ili waweze kuona na kufikia fursa mbalimbali na mengineyo.
#YouthEngagement #TangaYetu #ParentingForChange #RestlessDevelopment #VijanaNaFursa tanga_tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: