Mt. Kizito Makuburi - Nchi inazizima (Live performance)
Автор: KMK MAKUBURI
Загружено: 2024-03-19
Просмотров: 16373
Описание:
Pamoja na kutambua kwamba Bwana wetu Yesu Kristo hakuwa na kosa lolote, Pilato Alimhukumu kifo kwa Hofu ya Wayahudi.
Karibu kutazama Wimbo Nchi inazizima uliombwa na KMKMAKUBURI Dominika ya 5 ya kwaresma Mwaka B wa kanisa.
WIMBO : NCHI INAZIZIMA
WAIMBAJI : KMKMAKUBURI
MTUNZI : BERNARD MUKASA
ORGANIST : VINNY MUKASA
CONDUCTOR : MATILDA MUKASA
#kwaresma2024
#kmkmakuburi
#kwayakatoliki
#gospel
#catholic
#choir
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: