Tausi Mdegela:'Kumlea mtoto peke yako ni changamoto'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2023-03-11
Просмотров: 5145
Описание:
Katika Nyota wa Afrika Mashariki tunamuangazia Tausi Mdegela @tausimdegelaoriginal, moja kati ya waigizaji maarufu nchini Tanzania, anaelezea namna anavyokumbana na unyanyasaji mitandaoni, kazini pamoja na mitaani kutokana na muonekano wake ambao ni mfupi kwa kimo.
Tausi mwenye umri wa miaka 29 anasema kinachomuuma zaidi ni mtoto wake mdogo wa kike ambaye amekuwa akitaniwa kutokana na muonekano wa mama yake.
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda amekutana na Tausi na kuzumza naye.
#bbcswahili #tanzania #wanawake
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: