Wananchi Kintinku Maweni na Makanda Wapewa Umiliki wa Ardhi “Tuwe na Hati Miliki” Asema Afisa Ardhi
Автор: Manyonidc
Загружено: 2025-10-09
Просмотров: 74
Описание:
Wananchi Kintinku, Maweni na Makanda Wapewa Elimu ya Umiliki wa Ardhi – “Tuwe na Hati Miliki” Asema Afisa Ardhi
Manyoni – Katika kuhakikisha usalama wa mali na kupunguza migogoro ya ardhi kwa wananchi, Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Ndg. Mwakila Uswege, ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Kintinku, Maweni na Makanda kuhakikisha wanamiliki ardhi zao kwa hati halali.
#itv #tbc #global #wasafitv @ayotv9039
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: