KUPAKWA MAFUTA NA BWANA - REV. LUKA
Автор: REV. LUKAS - CFF DAGORETTI
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 92
Описание:
Je, unahisi kuitwa kufanya mambo makubwa lakini unakosa nguvu ya kuyatekeleza?
Kupakwa mafuta si kwa ajili ya watumishi wa madhabahuni pekee—ni kwa ajili ya kila mwamini anayetaka kutembea katika ushindi, mamlaka, na kusudi la Mungu hapa duniani. Katika video hii, tunajifunza maana halisi ya Upako, na kuupokea.
👍 LIKE: Bonyeza alama ya Like ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.
🔔 SUBSCRIBE: Jiunge na familia yetu kwa kusubscribe ili usipitwe na masomo mengine ya kiroho na mafundisho ya uzima.
💬 COMMENT: Ungana nasi hapa chini kwa kuandika: Ni neno gani au sehemu gani ya somo hili imegusa moyo wako leo?
#KupakwaMafuta #UpakoWaBwana #NguvuYaRohoMtakatifu #MaishaYaUshindi #Huduma #Kiroho #Anointing #mafutamabichi #holyspirit #nguvu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: