Msemaji wa waasi wa M23 aliuawa, Kenya yazindua dawa mpya ya Lenacapavir
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 10219
Описание: Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na kuuawa kwa msemaji wa kijeshi wa kundi la waasi la M23 Willy Ngoma, serikali ya Kenya ilizindua zoezi la usambazaji wa dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, LENACAPAVIR, UN ulisema taifa la Sudan Kusini, linatoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi elfu 64, watu 25 waliuawa katika jimbo la Adamawa, kaskazini mashariki mwa Nigeria, pia awamu ya tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran, yalifanyika juma hili huko Geneva Uswiz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: