BILIONI 83 KUTUMIKA UJENZI KM 41 KIBADA-KIMBIJI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-11-15
Просмотров: 810
Описание:
Serikali ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada_Mwasonga_Kimbiji yenye urefu wa km 41 wilayani Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatua hiyo ni mwendelezo wa juhudi za Serikali za kuiwezesha wilaya ya Kigamboni kuwa na barabara nyingi za lami na hivyo kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wakazi wake.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: