Mambo 4 yakufanya ubaki online kama mtandao ukijizima tena Tz jinsi ya kutumia straight/StarLink
Автор: Teacher Sauti ya sifa
Загружено: 2025-11-04
Просмотров: 389
Описание:
Leo nimekuja kuku fundisha jinsi utavyo weza kutumia mtandao hata kama upatikani na kutumika kiurasi sana yafutayo ni mambo manne muhimu sana unayo weza kufanya kama kuna hali mbaya ya internet eneo lako kama hile iliowayi kutoke Tanzania 29 octoba 2025
TUMIA
1.Tumia straight/StarLink
2.Badirisha raini au simu card
3.tumia vpn
4.tumia njia za kawaida sms,call na kushare mafile
njia zote nzuri hira njia mpya nihiyo ya StarLink kutoka kwa Ilon mask tajili wa dunia
mimi niliyo kuandalia video hii naitwa SAUTI YA SIFA
MAMBO MENGINE MENGI TAZAMA VIDEO HADI MWISHO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: